Qurani
/
6- SURAT AL AN AAM/
Aya 1
1- Sifa na utajo mwema ni wa Mwenyezi Mungu Aliyeziumba mbingu na ardhi na Akaweka giza na nuru kwa ajili ya manufaa ya viumbe kwa uwezo Wake na kwa mujibu wa hekima Yake. Kisha pamoja na neema hizi zote kubwa, makafiri wanamshirikisha na kumfanyia mshirika Wake katika ibada!
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map