Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /6- SURAT AL AN AAM/
 
Aya 2

2- Yeye ndiye Aliyeanza kuwaumbeni kutokana na udongo, kisha Akampangia kila mmoja wenu muda maalumu wa kuishi unaomalizikia kwa kufa kwake. Na wakati maalumu wa kufufuliwa toka makaburini uko Kwake basi. Kisha nyinyi enyi makafiri baada ya haya, mnajadili kuhusu Uwezo wa Mwenyezi Mungu wa kufufua na kustahiki Kwake kuabudiwa Peke Yake!

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map