Qurani
/
6- SURAT AL AN AAM/
Aya 29
29- Na lau kama wangalirudishwa duniani, bila shaka wataurudia ule ule mwenendo wao wa mwanzo na watasema: Hatuna sisi uhai mwingine ila huu huu uhai wa kidunia. Wala sisi hatutafufuliwa baadaye.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map