Qurani
/
6- SURAT AL AN AAM/
Aya 3
3- Yeye Peke Yake ndiye Mwenye kustahiki kuabudiwa mbinguni na ardhini. Anayajua mliyoyaficha na mliyoyadhihirisha na Anayajua mnayoyafanya na Atawalipeni kwa hayo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map