Qurani
/
6- SURAT AL AN AAM/
Aya 4
4- Na wala washirikina hawajiwi na dalili yoyote kati ya dalili za Muumbaji wao zinazothibitisha upweke Wake na ukweli wa Mitume Wake, isipokuwa walikuwa wakizipuuza, hawazifikirii wala hawazizingatii!
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map