Qurani
/
6- SURAT AL AN AAM/
Aya 40
40- Ewe Nabii! Waambie makafiri hawa: Nielezeni, ikiwa adhabu itawajieni hapa duniani toka kwa Mwenyezi Mungu au kikawajieni kiyama na kizaazaa chake, je, katika wakati huo, mtaelekea kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu mumwombe awafaeni kwa lolote, ikiwa nyinyi ni wakweli katika kuwaabudu wengineo badala ya Mwenyezi Mungu?!
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map