Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /6- SURAT AL AN AAM/
 
Aya 9

9- Na lau kama Tungalimfanya anayemtilia nguvu Mtume kuwa ni malaika kama walitakavyo, basi Tungalimfanya kuwa katika umbo la mwanadamu ili waweze kumwona na kumfahamu ayasemayo, kwani wao hawawezi kumwona malaika katika sura yake ya asili. Tena mambo yangaliwakanganya kwa kupelekwa kwa sura ya mwanadamu na Tungaliwatia katika makosa yaleyale yanayowazonga.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map