Qurani
/
8 - SURAT AL ANFAL/
Aya 19
19- Haitakikani kuwaweka washirikina wenye kuwanywesha mahujaji maji na kuuamirisha Msikiti wa Makka daraja moja na wale waliomwamini Mwenyezi Mungu pekee, wakaamini kufufuliwa na kulipwa na wakapigana Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu. Hii ni kwa vile Waumini na washirikina hawapo katika daraja moja mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi katika njia ya kheri watu wenye kuendelea kujidhulumu wenyewe kwa ukafiri na kuwadhulumu wengineo kwa madhara ya kudumu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map