Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /8 - SURAT AL ANFAL/
 
Aya 2

2- Hakika walioamini kikweli kweli, wakati wote wanaipata hisia ya kumwogopa Mwenyezi Mungu na kumtii. Anapotajwa Mwenyezi Mungu Subhana, basi nyoyo zao huingia woga na kujaa hofu. Na kwa hivyo, kila wanaposomewa aya za Qurani, imani yao inazidi kujikita na wanazidi kumtii na kumjua. Na wala hawamtegemei mwingine yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu Aliyewaumba na ndiye Anayeendelea kuwalinda na kuwastawisha.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map