Qurani
/
8 - SURAT AL ANFAL/
Aya 29
29-30- Enyi mlioamini! Piganeni na makafiri wa Ahl El Kitab wasiomwamini Mwenyezi Mungu imani sahihi wala hawakubali kama inavyotakikana kufufuliwa na kulipwa, wala hawawajibiki kuyaacha yale aliyoyakataza Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wala hawaifuati dini ya kweli ya Uislamu, ( piganeni nao) mpaka waamini au walipe kodi kwa hiari yao bila ya kuasi ili wachangie kuitunisha bajeti ya dola ya Kiislamu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map