Qurani
/
8 - SURAT AL ANFAL/
Aya 3
3- Na Waumini hawa wenye imani ya kikweli kweli, wanaitekeleza sala iliyokamilika nguzo na yenye unyenyekevu na utiifu, ili wawe wakimkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wote. Pia wanatoa sehemu ya mali Alizowaruzuku Mwenyezi Mungu Subhana katika jihadi, katika mambo yote ya wema na katika kuwasaidia wanyonge.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map