Qurani
/
8 - SURAT AL ANFAL/
Aya 4
4- Bila shaka watu hao wenye sifa hizo, hao ndio wenye imani ya kikweli kweli. Wana malipo yao yenye ngazi za juu kwa Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye Atakayewapa radhi Zake na ndiye Atakayewasamehe mitelezo yao na ndiye Atakayewaruzuku riziki bora hapa duniani na neema za kudumu huko akhera.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map