Qurani
/
8 - SURAT AL ANFAL/
Aya 40
40- Na wakiendelea na kupuuza kwao na kuwaudhi Waumini, basi enyi Waumini, jueni ya kuwa nyinyi mko katika Ulinzi wa Mwenyezi Mungu, na huo ndio ulinzi wenye kupendeza na wenye nguvu kabisa. Na Yeye ndiye Mwenye kukunusuruni, na kuwanusuru Kwake ndiko kwenye nguvu zaidi na bora zaidi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map