Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /8 - SURAT AL ANFAL/
 
Aya 9

9- Kumbukeni enyi Waumini, hali ya kuwa mnagawana ngawira na mnazozana, wakati mlipokuwa mnaelekea kwa Mwenyezi Mungu mkimwomba nusura na msaada pale Alipowaandikieni kwamba ni lazima mpigane. Akawajibuni dua yenu na Akawasaidieni kwa roho nyingi takasifu zinazofikia elfu moja zikiandamana mmoja baada ya mwingine

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map