Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /7- SURAT AL - ARAAF /
 
Aya 1

1- Alif, Laam, Miim, Saad. Hizi ni herufi za sauti ambazo hutamkwa mwanzoni mwa baadhi ya sura zilizoteremka Makka kwa ajili ya kuwatanabahisha washirikina kuwa Qurani Takatifu imeundwa kwa herufi zilezile wanazozitamka wao. Na juu ya hivyo, hawawezi kuleta mfano wake. Vilevile, herufi hizi zinaposomwa, huwazindua wao waisikilize Qurani hata ikiwa walikuwa wanashauriana na wakubwa wao kuwa wasiisikilize Qurani.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map