Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 19
19- Na ewe Adamu! Kaa wewe na mkeo katika makao ya ukarimu Wangu; nayo ni bustani, na stareheni na yote yaliyomu humo. Kuleni kila aina ya chakula mkipendacho isipokuwa mti huu. Msiukaribie, msije mkawa ni kati ya wenye kujidhulumu nafsi zao kwa adhabu itakayokupateni kwa kuvunja amri.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map