Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 29
29- Wabainishie Aliyoyaamrisha Mwenyezi Mungu na useme: Mola wangu Ameamrisha uadilifu na mambo yasiyoingiliwa na uchafu. Na Amekuamrisheni mumhusishe Yeye tu kwa ibada kila wakati na kila mahali, na muwe wenye kumsafia nia katika hayo. Na nyinyi nyote baada ya mauti mtarudia Kwake. Na kama Alivyoanza kukuumbeni kwa wepesi nailhali mlikuwa hammiliki chochote wakati huo, basi mtarudia Kwake kwa urahisi nailhali mmeziacha nyuma ya migongo yenu neema zote mlizo nazo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map