Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 3
3- (Enyi watu!) Fuateni Aliyokufunulieni Mola wenu, wala msiwafuate walinzi wengineo badala Yake mkawa mnawaitikia wao na mkiwaomba msaada. Na wakati mnapoiacha Dini ya Mwenyezi Mungu mkaifuata nyingineyo, basi hiyo inamaanisha kuwa hamkupata mawaidha ila kidogo tu ingawa mazingatio ni mengi katika haya mliyofunuliwa.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map