Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 39
39- Na hapa waliofuatwa watawaambia wafuataji: Bila shaka nyinyi kwa kutufuata sisi katika ukafiri na uasi, hamtakuwa na fadhila kwetu hata mstahiki kupunguziwa adhabu. Mwenyezi Mungu Atawaambia wote: Ionjeni adhabu mnayoistahiki kwa ule ukafiri na uasi mliokuwa mkiufanya.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map