Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 4
4- Hakika Tuliiangamiza miji mingi kwa sababu watu wao walikuwa wakiwaabudu wasiokuwa Mwenyezi Mungu, na kwa kuwa hawakufuata njia Yake katika mwendo wao. Ikawajia adhabu Yetu wakati wao wameghafilika na wamepata utulivu usiku nao wamelala kama ilivyotokea kwa kaumu ya Lut, au wakaadhibiwa mchana nao wamepumzika kama ilivyotokea kwa kaumu ya Shuaib.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map