Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /7- SURAT AL - ARAAF /
 
Aya 40

40- Hakika wale waliozikadhibisha aya Zetu katika Vitabu na zilizopo ulimwenguni, wakafanya kiburi wasiongoke nazo na wala wasitubie, ni muhali kabisa kwao kukubaliwa vitendo vyao, au kuzipata Rehema za Mwenyezi Mungu au kuingia peponi. Muhali huu ni sawa na uwezekano wa kuingia ngamia kwenye tundu ya sindano! Na kwa mfano huu wa adhabu, Tunawaadhibu wakadhibishaji na wafanyao kiburi katika kila umma.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map