Qurani
/
7- SURAT AL - ARAAF /
Aya 9
9- Na wale ambao maovu yao yatazidi kuliko mema yao, hao watakuwa ndio wenye hasara, kwa kuwa wameziuza nafsi zao kwa shetani wakaacha kufikiri na kuzingatia aya Zetu kwa ukafiri na inadi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map