Qurani
/
2- Surat AL - BAQARAH /
Aya 1
1- Alif Laam Miim: Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka, Ameanza kwa herufi hizi ili kuonyesha kwazo muujiza wa Qurani Takatifu iliyoundwa kwa herufi zile zile ambazo Waarabu wanazitumia katika maneno yao. Pamoja na hivyo, Waarabu wameshindwa kuleta mfano wa Qurani. Licha ya hayo, herufi hizo zinawazindua wasikilizaji kwani zina hisi (sauti) maalum.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map