Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /2- Surat AL - BAQARAH /
 
Aya 19

19- Au hali yao hiyo ya kubabaika, mambo kuwawia magumu na kutoweza kulitofautisha la kuwadhuru wala la kuwanufaisha, ni kama hali ya watu walionyeshewa na mvua toka mbinguni iliyoambatana na radi na ngurumo kali, wakaweka vidole vyao masikioni  wasipate kuzisikia sauti za ngurumo hali ya kuwa wanachelea kufa, wakidhani kwamba kufanya hivyo kutawazuilia na kifo. Wanafiki hawa, inapoteremka Qurani yenye kuwafunulia magiza ya ukafiri na adhabu zake, yenye kubainisha imani na nuru yake inayowaka na yenye kuweka wazi aina mbalimbali za adhabu, wao huipinga na kujaribu kujiweka mbali na hayo wakidhani kwamba kufanya hivyo kutawaondoshea adhabu. Lakini, Mwenyezi Mungu Anawajua vizuri makafiri na Amewadhibiti vyema kwa elimu Yake na uwezo Wake.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map