Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /2- Surat AL - BAQARAH /
 
Aya 2

2- Hiki ni Kitabu kilichokamilika, nayo ni Qurani Tuliyoiteremsha ambayo mtu mwenye akili na mwadilifu, hana shaka yoyote kwamba imetoka kwa Mwenyezi Mungu, na wala hana shaka katika ukweli wa maelezo  na hukumu zake. Ndani yake, mna uongofu kamili kwa wale wanaoitafuta haki na kujie- pusha na madhara na adhabu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map