Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /2- Surat AL - BAQARAH /
 
Aya 29

29- Bila shaka, Mwenyezi Mungu ambaye inapasa kumwabudu na kumtii, ndiye Yule Aliyewafanyieni ihsani ya kuwaumbieni neema zote zilizopo ardhini kwa ajili ya faida na manufaa yenu. Kisha, pamoja na kuiumba ardhi na vilivyomo, mapendeleo Yake yameelekea mbinguni kwa kuzifanya mbingu saba zilizopangika. Ndani ya mbingu hizo, kuna mnavyoviona na msivyoviona na Mwenyezi Mungu Anakijua kila kitu vyema.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map