Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /2- Surat AL - BAQARAH /
 
Aya 4

4- Na wale wanaoiamini Qurani Aliyokuteremshia Mwenyezi Mungu na yale yaliyomo ndani yake kati ya hukumu na habari, na wanatenda kwa mujibu wa mafundisho yake. Wanaviamini Vitabu vya Mwenyezi Mungu walivyoteremshiwa Mitume na Manabii waliokutangulia kama Taurati na Injili na vinginevyo. Hii ni kwa vile dini zote za Mwenyezi Mungu zina msingi mmoja. Pia, wanasifiwa kuwa na imani kamili juu ya siku ya mwisho na yaliyomo ndani yake kati ya malipo, thawabu na adhabu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map