Qurani
/
2- Surat AL - BAQARAH /
Aya 40
40- Enyi wana wa Israili! Zikumbukeni neema Zangu Nilizowapa nyinyi na mababu zenu kwa njia ya kuzifikiria na kuyafanya yanayoonesha shukurani. Na tekelezeni ahadi Yangu Niliyoichukua kwenu na mkaikubali juu ya nafsi zenu; nayo ni kuamini, kuvifanya vitendo vyema na kuwakubali Manabii wajao baada ya Musa. Hapo ndipo Nitakapowatekelezea nyinyi agano Langu la kuwapa malipo mazuri na neema za milele na milele. Na msimwogope mtu yeyote isipokuwa Mimi na tahadharini na sababu zinazonighadhibisha.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map