Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /2- Surat AL - BAQARAH /
 
Aya 9

9- Hao, huwadanganya Waumini kwa vitendo vyao na wanadhani kuwa wanamdanganya Mwenyezi Mungu pale wanapofikiri kwamba Mwenyezi Mungu Havijui vitendo vyao vya siri ilhali Yeye  Anazijua siri zao na minong`ono yao. Kwa kweli, wao wanajidanganya wenyewe kwa vile madhara ya vitendo vyao yatawafikia sasa au baadaye. Hii ni  kwa kuwa, mtu ambaye humdanganya mtu mwingine akimfikiria ni mjinga ilhali hayuko hivyo, basi hakika anajidanganya mwenyewe.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map