Qurani
/
1-SURAT AL - FAATIHA/
Aya 7
7- Nayo ni njia ya waja Wako Uliowaongoza kukuamini Wewe tu, na Ukawapa neema mbili za uongofu na kuridhia. Siyo njia ya wale waliostahiki ghadhabu Yako na wakapotea njia ya haki na kheri, Kwa kuwa wamekataa kukuamini na kuufuata uongofu Wako.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map