Qurani
/
15- SURAT AL HIJR/
Aya 19
19- Na Tumekuumbieni ardhi, na Tumekutengenezeeni mpaka ikawa kama busati lililotandikwa, na Tukaweka ndani yake milima iliyosimama imara. Na Tumekuotesheeni ndani namna mbalimbali za mimea ya kuhifadhi uhai wenu, na Tumeifanya kwa vipimo na zama maalumu katika kukua kwake na faida ya lishe, na kwa kadiri ya haja zenu na kwa vipimo vyake, na sura yake kwa umbo na tabia.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map