Qurani
/
15- SURAT AL HIJR/
Aya 2
2- Watapenda na watatamani sana wale waliozikanya Aya za Mwenyezi Mungu (S.W.) watakapoiona adhabu ya kiyama, lau kuwa walisilimu walipokuwapo duniani, na wakafuata kwa utakasifu Dini ya Mwenyezi Mungu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map