Qurani
/
15- SURAT AL HIJR/
Aya 3
3- Lakini sasa wamo katika kughafilika, hawazingatii adhabu itakayowapata akhera! Basi ukishawafikilishia ujumbe wako na ukawaonya, waachilie mbali. Wao hawana jingine la kuwashughulisha ila kula na kustarehe kwa vitamu vya dunia. Tamaa ya uongo inawazuga. Na bila ya shaka yoyote watakujajua yatakayowapata pale watakapoyaona kwa macho yao siku ya kiyama.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map