Qurani
/
15- SURAT AL HIJR/
Aya 39
39- Akasema ibilisi, mhalifu na mwasi: Ewe Muumba wangu Unayenibakisha! Umenitakia upotofu nami nimetumbukia ndani yake. Na kwa sababu hiyo, nahakikisha kuwa nitawapambia wanadamu maovu wayaone mazuri, na nitafanya kila juhudi kuwapoteza wote.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map