Qurani
/
15- SURAT AL HIJR/
Aya 9
9- Na hakika, kwa ajili ya kuwa wito wa Nabii kwendea haki udumu mpaka siku ya kiyama, Hatuwateremshi malaika, bali Tumeiteremsha Qurani ambayo kukumbusha kwake kunaendelea daima dawamu. Na Sisi ndio wenye kuilinda isiingiliwe na mageuzo na mabadiliko yoyote mpaka kusimama kiyama.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map