Qurani
/
11-SURAT HUD/
Aya 2
2- Ewe Nabii! Waongoze watu kwa Qurani hii na uwaambie: Msimwabudu yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu tu. Na hakika mimi nimetumwa kutoka Kwake ili nikuonyeni adhabu Yake mkikufuru, na nikupeni bishara njema kuwa mkiamini na mkatii, basi mtapata malipo Yake.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map