Qurani
/
11-SURAT HUD/
Aya 4
4- Marejeo yenu ni kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake hapa duniani na siku ya kiyama Atakapokufufueni kutoka makaburini mwenu ili Akulipeni kwa vitendo vyenu. Na Yeye ni Mweza wa kila kitu, kwani Yeye ndiye Aliyekamilika uwezo Wake, na hashindwi na kitu chochote.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map