Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /11-SURAT HUD/
 
Aya 40

40- Hata ulipowadia wakati wa amri Yetu ya kuwaangamiza, maji yalikuja kwa nguvu yakifoka na kutoa mapovu kama maji yanavyotokota juu ya moto. Tukamwambia Nuhu: Wapakie pamoja nawe katika safina hiyo kila namna ya wanyama dume na jike. Na pia wapakie humo ahali zako wote isipokuwa iliokwishapita juu yake hukumu Yetu ya kumteketeza. Na pia wapakie humo watu wako walioamini, na hao hawakuwa ila wachache tu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map