Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /14- SURAT IBRAHIM/
 
Aya 1

1-	Alif Lam Ra. Kwa kuanzia kwa herufi hizi, ni kunabihisha muujiza wa Qurani juu ya kuwa imeundwa kwa herufi hizi hizi zinazotumiwa kwa kusemea. Na pia kuwazindua watu waisikilize. Haya yaliyotajwa katika sura hii, ni Kitabu kilichoteremshwa kwako wewe Muhammad kutoka Kwetu, ili uwatoe watu wote toka kwenye giza la ukafiri na ujinga waendee kwenye nuru ya imani na elimu, kwa kusahilishiwa na Mola wao. Na nuru hiyo ndio Njia ya Mwenyezi Mungu Mwenye kushinda kwa kuadhibisha na Mwenye kuhimidiwa kwa kuneemesha.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map