Qurani
/
14- SURAT IBRAHIM/
Aya 19
19- Ewe unayesemezwa! Hujui kwamba Mwenyezi Mungu Ameziumba mbingu na ardhi zisimame juu ya haki kwa mujibu wa hekima Yake? Na Mwenye kuweza haya, basi Anaweza kukuteketezeni, enyi makafiri, na Akaleta viumbe wengine badala yenu nyinyi wanaokubali kuwepo Kwake na kwamba Yeye ni Mmoja wa Pekee!
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map