Qurani
/
14- SURAT IBRAHIM/
Aya 2
2- Njia ya Mwenyezi Mungu ambaye Ana kila kilichomo mbinguni na ardhini kwa kukiumba na kukimiliki. Na ikiwa hii ndio hali ya Mungu wa haki, basi makafiri wataangamia kwa adhabu iliyo kali.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map