Qurani
/
14- SURAT IBRAHIM/
Aya 3
3- Wanaohiari uhai wa duniani kuliko ahera na wanawazuia watu wasiifuate Sheria ya Mwenyezi Mungu, na wanataka kuipotoa sheria katika macho ya watu ili wapate kuikataa. Hao wenye sifa hizi zilizotajwa, wamepotelea mbali na haki.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map