Qurani
/
14- SURAT IBRAHIM/
Aya 39
39- Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu Aliyenipa Ismaili na kisha Is-haka juu ya kuwa ni mzee wa miaka mingi na nimekwishakata tamaa ya kuzaa. Hakika Mwenyezi Mungu Anayasikia na Anayapokea maombi yangu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map