Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /14- SURAT IBRAHIM/
 
Aya 4

4- Na Sisi Hatukumtuma Mtume kabla yako, ewe Nabii, ila kwa lugha ya kaumu yake Tuliyomtumia, ili apate kuwafahamisha aliyokuja nayo, nao wayafahamu na wayaelewe kwa wepesi. Wala si juu yake yeye kuwa lazima waongoke. Mwenyezi Mungu Mwenyewe ndiye Humwacha apotee kwa kuwa huyo si tayari kuitaka haki. Na Humwongoa Amtakaye kwa kuwa kajitayarisha vyema kuifuata haki. Na Humwongoa Amtakaye kwa kuwa kajitayarisha vyema kuifuata haki. Naye Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu ambaye Hashindiki kwa Alitakalo, na ambaye Anayapanga mambo mahala pake. Basi Haongoi wala Hapotezi ila kwa hekima.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map