Qurani
/
14- SURAT IBRAHIM/
Aya 40
40- Ewe Mola wangu! Niwezeshe nitimize sala kama inavyotakikana. Na Wawezeshe watimilize kadhalika wale walio wema katika watoto wangu. Ewe Mola wetu! Ipokee dua yangu kwa mapokezi ya kukubaliwa.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map