Qurani
/
3- SURAT AL - IMRAN/
Aya 1
1- Alif Laam Miim; ni herufi za sauti. Zimewekwa kwa ajili ya kuonyesha kwamba Qurani yenye kuwashinda watu, imeundwa kutokana na herufi hizi na kwa ajili ya kuwazindua ili wasikilize.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map