Qurani
/
3- SURAT AL - IMRAN/
Aya 16
16- Malipo hayo, watayapata wale ambao nyoyo zao zimejaa imani, na wakalitangaza hilo kwa ndimi zao wakisema kwa kumnyenyekea Mwenyezi Mungu: Ewe Mola wetu! Hakika sisi tumeamini kwa ajili ya kuuitikia wito Wako. Basi Tusamehe madhambi yetu na Utulinde kutokana na adhabu ya moto.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map