Qurani
/
3- SURAT AL - IMRAN/
Aya 2
2- Mwenyezi Mungu ni Mmoja, hapana Mungu mwingine ila Yeye tu. Vyote vilivyomo ulimwenguni kati ya mipangilio na uruwaza, vinalishuhudia hilo. Na Yeye yu Hai, Hafi na Mwenye kusimamia uendeshaji wote wa ulimwengu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map