Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /3- SURAT AL - IMRAN/
 
Aya 29

29- Sema ewe Nabii! Mkiyaficha yaliyomo vifuani mwenu au mkiyadhihirisha katika vitendo vyenu na kauli zenu, hakika Mwenyezi Mungu Anayajua na Anayajua yote yaliyomo mbinguni na yaliyomo ardhini, yanayoonekana na yaliyofichikana. Uwezo Wake unapenya katika viumbe Vyake vyote.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map