Qurani
/
3- SURAT AL - IMRAN/
Aya 3
3- Amekuteremshia ewe Muhammad, Qurani yenye kukusanya haki kwa yale yote yaliyopo ndani yake kati ya misingi ya sheria za mbinguni zilizopo katika Vitabu vilivyotangulia. Na bila shaka, Mwenyezi Mungu Aliiteremsha Taurati kwa Musa na Injili kwa Isa kabla ya kumteremshia Muhammad Qurani.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map